Wednesday, August 1, 2012

ROSE NDAUKA ANASWA NA KANUMBA FEKI




Rose Ndauka akiwa katika pozi na Kanumba Feki.
STAA wa filamu za Bongo, Rose Ndauka amenaswa akiwa katika pozi tata na jamaa aliyetambulika kwa jina la Clement almaarufu Kanumba Feki.
Baada ya kuinasa picha hiyo kutoka kwa chanzo, paparazi wetu alimwendea hewani Rose ambaye ni mchumba wa Marik Bandawe na kumuuliza kulikoni aonekane kwenye pozi hilo tata!
“Aah! Huyo jamaa nilipiga naye picha wakati nashuti muvi ya Malaika lakini nje ya hapo hakuna kitu kinachoendelea jamani,” alisema Rose.

No comments:

Post a Comment