Toka aache kuigiza kwenye
TV miaka zaidi ya mitano iliyopita, Sintah ameniambia hii ndio movie
yake ya kwanza kuigiza ukiachilia mbali za kushirikishwa, baada ya movie
hii kukamilika ndio anaingia kwenye uigizaji wa movie ya maisha yake ya
kimapenzi na Juma Nature.
No comments:
Post a Comment