Nahodha wa timu ya simba na baadhi ya uongozi wa simba akiwemo aden
rage wakipokea hundi ya shilingi milion arobaini jana katika uwanja wa
taifa kwenye fainal za mashindano ya sup8r yanayodhaminiwa na Abd banc
simba ilishinda mabao 4-3 dhidi ya mtibwa sukari katika mchezo huo wa
vuta nikuvute.
kombe uwanjani
Warembo wa banc Abc wakionyesha nembo ya sup8r kabla ya mpambano wa simba na mtibwa haujaanza katika uwanja wa taifa.
Nahodha wa timu ya mtibwa sukari akipokea hundi ya Tsh milioni 20 kama washindi wa pili wa mashindano hayo ya sup8rNahodha wa timu ya simba akikabithiwa kombe la sup8r na moja kati ya warembo wa bank Abc
Saimba wakichangilia baada ya kupokea kombe la sup8r linalodhaminiwa na banc Abc.
No comments:
Post a Comment