WATU WANGU WA MANCHESTER UNITED, HII YA WELBECK MSIACHE KUICHEK!
Posted: 15th August 2012 by MillardAyo in News
Hii ni goooooood news kwa fans
wa Manchester United kwa sababu yule mkali Danny Welbeck ambae mkataba
wake unaisha mwaka kesho kuichezea Man U, amekubali kuongeza mkataba wa
miaka mitano wa kuendelea kuishi kwa Sir Ferguson.
Toka mwaka 2008 alipojiunga na Man U, Danny (21) ameshapiga goli zake kumi na kwenye timu zake za taifa za England anazo goli 13.
Ukali wa huyu jamaa nilianza kuuona toka siku ya kwanza anaifungia Manchester United, hebu chek hiyo video hapo chini…

No comments:
Post a Comment