Sunday, August 12, 2012

PICHA 12 ZA JINSI TIMU YA BASKETBALL YA MAREKANI ILIVYO SHEREHEKEA USHINDI OLYMPIC!



0
.
.
.
.
.
.
.
.
LeBron James 6 akishangilia ushindi wa gold-medal na mchezaji mwenzake wa U.S Kobe-Bryant.
Kocha wa team ya kikapu ya U.S.A Mike Krzyzewski akishangilia ushindi na LeBron James.
Kobe Bryant wa Marekani akimhug mchezaji mwenzake ambae Pau Gasol ambae anaichezea pia timu ya taifa ya Hispania.
Kevin Durant na Russell Westbrook.

No comments:

Post a Comment