Operation Sangara Ya Chadema leo Yaingia Ulanga
Operation Sangara pamoja na vuguvugu la mabadiliko leo imeingia
Ulanga Mashariki ikitokea Kilombero. Mikutano imefanyika kwenye Kata 8
na Vijiji zaidi ya 24. Kesho itakuwa ni Kata 8 za Ulanga Magharib
picha na mjengwa
No comments:
Post a Comment