Monday, August 13, 2012

WATU WA CHELSEA, HII NI MAALUMU KWENU KUHUSU J.T

012 by MillardAyo in News
0
John Terry.
Mchezaji John Terry wa Chelsea ambae amekua na adhabu juu ya ubaguzi sasa imefahamika ataichezea club yake kwenye mechi ya kwanza ya Champions League baada ya kupunguziwa adhabu aliyokua amepewa na mahakama.
Ingawa hatocheza mechi dhidi ya Atletico Madrid ijumaa hii, Mahakama ya michezo imeamua kupunguza adhabu na kumruhusu kucheza mechi ya kwanza ya Champions League.

No comments:

Post a Comment