Monday, August 20, 2012

BAADA YA KIFO CHA MAMA YAO P SQUARE WAACHIA NGOMA MPYA

Wakali kutoka naija peter and paul juzi  juzi walifiwa na mama yao leo wameachia ngoma mpya  baada ya ile iliyotamba ya beautif onyinye mzigo mpya unaitwa Alingo club song moja kali sana.

No comments:

Post a Comment