Kutokana na kushindwa kusajili
mchezaji yoyote kwa kipindi cha miezi minne iliyopita, kocha wa club ya
soka ya Manchester City Roberto Mancini ameyatoa ya moyoni kuhusu hiyo
ishu ya kutokusajili.
Aliyoyazungumza ni “sina furaha baada ya kutosajili yoyote kwa miezi minne iliyopita, tuna timu nzuri tuliyoitengeneza kwa miaka miwili lakini tunahitaji kuiweka sawa kwenye baadhi ya maeneo”
Baadhi ya vyombo vya habari wiki iliyopita viliongozwa na kichwa cha habari “Mancini awawakia maboss wake Man city kwa kushindwa kusajili”
Kuhusu ishu ya kumchukua Robin Van Persie ambae amegoma kuongeza mkataba wake na Arsenal ambayo anakaribia kumaliza kuichezea, Mancini amesema wamekata tamaa ya kumpata mchezaji huyo ambae baada ya kutangaza kumaliza mkataba na Arsenal, club nyingi zimeonyesha nia ya kumdaka.

No comments:
Post a Comment