Warembo wanaogombea taji la miss ilala wameanza mazoezi mapema kwa
ajili yakujiandaa na kinyang'anyiro iko kitakachofanyika mapema baada ya
mwenzi wa ramadhani xdeejayz ikiongea na mratibu wa shindano hilo gadna
g habash amesema" shindano hilo litakuwa ni lakipekee na litamake
history tanzania ambayo haitafutika milele.wadau kaeni mkao wa kuona
vitu tofauti katika kila secta"
Miss ukonga elizabert moja kati ya washiriki wa miss ilala 2012 akiwa mazoezini nyumbani lounge
washiriki wa miss ilala wakiwa mazoezini wakipata maneno mawili matatu
kutoka kwa walimu wao waliobobea katika kazi hii ya urembo.
No comments:
Post a Comment