Jina lake ni Juliana Pierre
mtanzania ambae yuko kwenye list ya warembo wanaolitaka taji la Miss
East Africa Belgium 2012 ( representing Tanzania), mwenye nguvu ya
kumuweka kwenye nafasi ya ushindi ni wewe pekee kwa kulike page yake ya
facebook… please tumsupport mtu wetu kwa kukopi na kulike hiyo page yake
ya facebook hapo chini, mimi nimeshalike tayari….
http://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
http://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
No comments:
Post a Comment