Monday, August 20, 2012

NEW MAISHA CLUB DODOMA


 Muonekano wa nje usiku new maisha club dodoma
 Full kujiachia
 Mdau namba moja wa New maisha club dodoma  ambae pia ni kiongozi wa mabalozi wa new maisha club UDOM wanamwita msouth kato akizungukwa na warembo kushoto ni mdau mwengine anaitwa aisha.
 Dogo janja akiwasalimia wapenzi wa New maisha club dodoma pembeni yake dj abou mkali.
 Cashier wa New maisha club dodoma william akiwa na wadau wa maisha dodoma
 DJ CUTTER akiwapagawisha wabunge eneo la v.i.p maisha dodoma
 Entertaiment maneger wa New maisha club dodoma na pia ni deejay S DIZZO akiwa NA DJ TARIQ
Operation Maneger wa new maisha club dodoma MARY MARY akiwa na mdau wa New maisha club

No comments:

Post a Comment