Monday, August 13, 2012

NILIKUA SIJAZIONA HIZI PICHA ZA NBA STAR KUMVISHA PETE MPENZI WA ZAMANI WA TREY SONGS.



0
.
Necole Bitchie ameandika kwamba miaka michache iliyopita R’n'B star Trey Songz na mrembo wa kiethiopia Helen Gedlu ambae ni dancer waliingia kwenye mapenzi baada ya kukutana kwenye tour lakini baada ya fununu za wao kuingia kwenye uchumba wakaachana.
Walibaki kuwa marafiki wazuri ambapo siku kadhaa baadae Helen alitokea kwenye video ya Trey Songs ya ‘Already Taken’ as his love interest.
Sasa stori ni kwamba mrembo huyu juzi juzi alikua vacation na mpenzi wake mpya Terrence Williams wa Sacramento Kings na jamaa akafanya maamuzi ya hatua za mwanzo za kujimilikisha kihalali (kamvisha pete ya uchumba) ambapo muda mfupi baadae Helen aliingia twitter na kutoa ushahidi.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment