Sikuweza
kupata details kamili za hii ajali lakini ni ajali ya nne ya Lori
niliyokutana nikitokea Tanga kuja Dar es salaam, hapa ni karibu na
Chalinze na ni sehemu ya tambarare kabisa.
Kumekua na mfululizo sana wa ajali za magari makubwa katika kipindi hichi.
No comments:
Post a Comment