Mama mzazi wa waimbaji Peter na
Paul Okoye wanaounda kundi la P-Square alifariki dunia july 11 2012
baada ya kuugua kwa muda mrefu, na alipelekwa India miezi michache
iliyopita baada ya kuzidiwa.
Mrs Okoye alikua mmoja kati ya watu waliowasaidia sana P Square kufanya vizuri kwenye muziki ikiwemo kuwapa ushauri watoto wake hao ambao sasa hivi wamepanda ngazi na kufanikiwa mpaka kufanya kazi na wakali wa dunia kama Akon pamoja na Rick Ross.

No comments:
Post a Comment