Monday, August 20, 2012

NEW MAISHA CLUB MTWARA

 Entertainment maneger wa New maisha club mtwara Chalz akiwapagawisha watoto katika disco toto lililofanyika sikukuu ya idd mosi New maisha club mtwara.ambapo mtoto alishinda baiskel kwa kuimba vizuri wimbo wa Y - TONY unaoitwa ZOPILO.
Kama unavyoona wana mtwara walivyofurika katika club pekee New maisha club
Ngoma kali kutoka kwa madeejay wakali wa xtreem djz na club kali ndio unawafanya wana mtwara wadate na NEW MAISHA CLUB
Full kujiachia
Muonekano kama mbele kumbe mtwara

No comments:

Post a Comment