Monday, August 20, 2012

HILI NDIO GAZETI PENDWA LA BURUDANI BABKUBWA Moja kati ya magazeti ambayo yanafanya vizuri sana pindi yanapoingia mtaani tu ni gazeti la babu kubwa. kila mtu ulisubiria kwa hamu sana. kujua litatoka na story gani kali. na huu ndio muonekano wa mbele wenyewe wanaita front page ya gazeti la bab kubwa litaingia mtaani hivi karibuni. Posted by NewClub maisha at Saturday, August 18, 2012 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Links to this post DTV SASA YAPATIKANA MPAKA KWENYE KING'AMUZI CHA STARTIMES Ile chanel yako ya kinyama ya burudani tanzania Dtv imeingia katika king'amuzi cha startimeS kuanzia leo inapatiokana katika chanel 218 tune to,its ur time to watch us.......!! Ina vipindi kibao na vingi vizuri vya burudani vinakuja kaa tayari,Kama T.I.D TOP SHOW,BLOCK 14, NIGONGEE na bila kusahau mwanadada sinta nae anakipindi chake anakuja nacho. je unaangalia dtv?NI WAKATI WAKO SASA IANGALIE SASA. Posted by NewClub maisha at Saturday, August 18, 2012 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Links to this post SIMBA YATELEKEZA FAMILIA YA MAFISANGO Uongozi wa simba unalaumia kwa kosa la kutelekeza familia ya Marehemu mafisango kwakutolipia kodi ya sehemu ambayo aliokuwa akikaa mcheza wao patrick mafisango. mpaka imepelekea kutolewa vitu nje ya nyumba na kumpisha mpamngaji mwengine.akiongea na mwenye nyumba mdaku wetu alisema bobani na kesi walimwambia kwamba wangepeleka pesa kwa ajili ya malipo ya hiyo sehehmu hili ndugu hao wamafisango waendelee kukaa hapo. lakini mpaka dakika ya mwisho kesi akipigiwa hapokei simu na akazima kabisa. bobani alipokea simu akasema atakuja kulipia jioni tangu tarehe 8 mpaka leo. nimeamua kuvitoa vitu vya marehemu nje hakuna mtu yeyote aliejitokeza sio mchezaji wala kiongozi wa simba. mdaku wetu pia aliongea na kiongozi wa simba akasema" wao kama simba waliingia mkataba na marehemu mafisango nawala hawakuingia na hao ndugu na marafiki wa mafisango ambao wanakaa hapo. hivyo sisi kama simba tunakaa na kujadili jinsi yakuwasaidia mwisho wa siku tutatoa jibu linaloeleweka. ndugu hao wamafisango wamesema" wanachoomba wao nikurudishwa vitu vya marehemu mafisango nchini kwao rwanda tu basi. kwanini washindwe kutusaidia au kwasababu ndugu yetu ameshafariki?alilalamika rwandizi mmoja wa ndugu wa mafisango. Timu ya simba ikiwa na masisango aliezungushiwa kiduara Safari ya mwisho ya marehemu mafisango akiagwa na watanzania leaders club Gari alilopata nalo ajali marehemu masisango mpaka kupekekea kifo chake maeneo ya keko dsm. Posted by NewClub maisha at Saturday, August 18, 2012 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Links to this post XTREME FILAM BORA YA WIKI-THE GLORY OF RAMADHANI Ni filam inayozungumzia mambo mbalimbali yanayohusu mwezi mtukufu wa ramadhani,ambapo pia imejaa mafunzo yanayohusu mwezi huo wa ramadhani ambao ni sehemu ya nguzo tano za uislam,ndani yake ina mafunzo mbalimbali,imeigizwa VICENT KIGOSI RAY,CHUCHU HANS,NESH MOHD,BATUL,naDULA AMBUA. Kama haujaiyona iangalie sasa lakini tunasisitiza kununua nakala halali hili kuchangia pato la wasanii wetu tanzania. Posted by NewClub maisha at Saturday, August 18, 2012 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Links to this post Friday, August 17, 2012 MISS ILALA WAANZA MAZOEZI Warembo wanaogombea taji la miss ilala wameanza mazoezi mapema kwa ajili yakujiandaa na kinyang'anyiro iko kitakachofanyika mapema baada ya mwenzi wa ramadhani xdeejayz ikiongea na mratibu wa shindano hilo gadna g habash amesema" shindano hilo litakuwa ni lakipekee na litamake history tanzania ambayo haitafutika milele.wadau kaeni mkao wa kuona vitu tofauti katika kila secta" Miss ukonga elizabert moja kati ya washiriki wa miss ilala 2012 akiwa mazoezini nyumbani lounge washiriki wa miss ilala wakiwa mazoezini wakipata maneno mawili matatu kutoka kwa walimu wao waliobobea katika kazi hii ya urembo. Posted by NewClub maisha at Friday, August 17, 2012 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Links to this post FEROOZ NAE AACHIA NGOMA MPYA Yule mkali wa bongo fleva forooz leo anaachia ngoma yake mpya kabisa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha XXLINAYOKWENDA KWA JINA LA ushindi nje na ndani, Posted by NewClub maisha at Friday, August 17, 2012 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Links to this post BAADA YA KIFO CHA MAMA YAO P SQUARE WAACHIA NGOMA MPYA Wakali kutoka naija peter and paul juzi juzi walifiwa na mama yao leo wameachia ngoma mpya baada ya ile iliyotamba ya beautif onyinye mzigo mpya unaitwa Alingo club song moja kali sana. Posted by NewClub maisha at Friday, August 17, 2012 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Links to this post Newer Posts Older Posts Home Subscribe to: Posts (Atom) Xtreme Tweets!! profile

Moja kati ya magazeti ambayo yanafanya vizuri sana pindi yanapoingia mtaani tu ni gazeti la babu kubwa. kila mtu ulisubiria kwa hamu sana. kujua litatoka na story gani kali. na huu ndio muonekano wa mbele wenyewe wanaita front page ya gazeti la bab kubwa litaingia mtaani hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment