Stori kutoka bungeni August 10
kupitia kwa Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa kuhusu
mgomo wa walimu kuanzia july 30 2012 ni kwamba kuna hasara mbalimbali
zilizojitokeza.
Amesema “mgomo umekua na athari kwa wanafunzi, walimu, jamii na taifa kwa ujumla.. kwa mfano ofisi ya mtendaji wa mji mdogo wa Tunduma ilichomwa moto na mali za ofisi zikiwemo nyaraka na mali za ofisi ziliharibiwa, kupigwa kwa walimu ambao hawakushiriki mgomo huo na wanafunzi katika baadhi ya mikoa kuandamana na kulala barabarani”
“kufuatia takwimu zilizokusanywa kwa nyakati tofauti kwa siku zote nne za mgomo wastani wa walimu elfu 46 na mia nane sitini kati ya walimu laki moja na elfu 73 na 92 wa shule za msingi ikiwa ni asilimia 27 waligoma, walimu elfu 11 na 525 kati ya walimu elfu 49 mia 8 na sabini na tisa wa shule za sekondari ikiwa ni asilimia 23 waligoma, serikali inawapongeza walimuwa shule za msingi laki moja elfu 22 mia moja sabini kati ya laki na elfu 73 na 92 na walimu elfu 35 mia tatu na 41 wa sekondari kwa kutoshiriki kwenye mgomo” – Waziri Kawambwa.
“Chama cha walimu CWT kimekua mstari wa mbele kuwahamasisha walimu kugoma na hivyo kuwa muhusika mkuu wa mgomo huo hivyo wanapaswa kulipa gharama za uharibifu wa mali ya umma iliyoharibiwa kutokana na mgomo huo, tathmini ya hasara itafanywa na wahusika watawajibika kulipa gharama zote, walimu waliopigwa waripoti madhara kwenye vyombo vya dola ili sheria ichukue mkondo wake, serikali itaandaa utaratibu wa kufidia vipindi vya masomo vilivyopotea wakati wa mgomo na CWT itawajibika kufidia hasara itakayobainika kama ilivyoamriwa na mahakama” – Waziri Shukuru Kawambwa.
Kama unahitaji kumsikiliza Waziri mwenyewe akizungumza unaweza kumsikiliza hapo chini pamoja na mabishano yaliyotokea kati ya Naibu spika Job Ndugai na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu wa Chadema “

No comments:
Post a Comment