Tuesday, July 24, 2012

simba yatolewa

Shujaa wa Azam FC, John Bocco akishangilia moja ya mabao aliyoifungia timu yake leo.
Wachezaji wa Azam wakishangilia ushindi wao.
Beki wa Simba, Lino Musombo (kulia) akichuana na Kipré Tchétché wa Azam.
Mashabiki wa Azam wakiwa na furaha.
Mashabiki wa Simba wakiwa hawaamini kilichotokea.
Shabiki wa Azam aliyekuwa kivutio uwanjani

No comments:

Post a Comment