Saturday, July 21, 2012

JINSI POLISI WALIVYOPIGA MABOMU YA MACHOZI ZNZ JULY 20 2012.



0
(Picha kutoka issamichuzi.blogspot.com)
Taarifa nyingine ambazo millardayo.com imezipata ni kwamba vurugu hizo zinadaiwa kufanywa na kundi la UAMSHO ambalo limeilaumu Serikali kwa kuzembea kuhusu ajali ya Mv Skagit, nafatilia taarifa zaidi..

No comments:

Post a Comment