Wednesday, July 25, 2012

HUYU NDIO RAIS WA SASA WA GHANA BAADA YA JOHN ATTA MILLS KUFARIKI JANA.



0
John Mahama.
Baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Atta Mills wa Ghana jana, saa chache baadae Makamu wa rais John Mahama ndio amekabidhiwa madaraka kwa sasa.
Kuhusu chanzo cha kifo cha Mills, BBC wamesema taarifa kutoka ofisi ya rais zinasema alifariki ghafla baada ya kupelekwa hospitali Jumatatu usiku.
Kifo cha rais wa taifa hilo la pili duniani kwa ukuzaji wa cocoa kimekuja wakati alikuwa anajiandaa kugombea tena urais.

No comments:

Post a Comment