Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Tawala wa Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI,) Aggrey Mwanri
akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012,
kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM,
Nape Nnauye akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai
22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais,
Mahusiano, Steven Wasira akihutubia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika,
jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini
Kigoma.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Charles
Tzeba akihutubia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22,
2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa CCM katika Uwanja wa Community Centre, Mwanga mkoani Kigoma jana.
Wazee kwenye mkutano wa CCM, Uwanja wa Community Centre Mwanga, Kigoma.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM,
Nape Nnauye akituzwa na Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba
alipocharaza gitaa, kwenye mkutano wa CCM, Uwanja wa Community Centre,
Mwanga Kigoma.
Habibu Ally wa kikundi cha Ujiji cha Sebene akicharaza kinanda akiwa chali wakati wa mkutano huo.
(Picha zote na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment