Ajali
hii imetokea maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam leo ambapo
Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga
mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya
Toyota Rav4 yenye nambari za Usajili T839 BSL iliyokuwa imepaki katika
eneo hilo. Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali
hiyo.
Picha kwa hisani…

No comments:
Post a Comment