Wednesday, July 25, 2012

PICHA 12 ZA MECHI YA MAN U NA SHANGHAI SHENHUA YA DROGBA NCHINI CHINA NA MATOKEO YAKE



0
.
Wakiwa kwenye mazoezi kabla ya mechi.
Mazoezi.
.
Wakiwa wanaingia uwanjani.
Game ndio inaanza.
.
.
.
.
.
.
Rio Ferdinand wa Manchester United akiwa na kombe waliloshinda China baada ya mechi hiyo, Man U iliishinda Shanghai Shenhua 1-0 ambapo mchezaji mpya wa Man U Shinji Kagawa ndio alilifunga na kuwa goli lake la kwanza toka aingie kwa Sir Alex Ferguson.
Hiyo hapo chini ni video ikimuonyesha Shinji Kagawa jinsi alivyopata hilo goli la ushindi…

0
July 25 2012 imeingia kwenye kumbukumbu za Mwimbaji Linex kwa kutoa video yake mpya yenye gharama ya zaidi ya milioni 7 za kibongo, ni video ambayo ina kastori nyuma yake na nilikua sifahamu.
Video ya Aifola inapoanza kuna Mrembo ambae anaigiza kama mpenzi wa Linex, script ilielekeza Linex ampige kibao huyu mrembo baada ya kukuta msg za mwanaume mwingine kwenye simu yake…. Linex alifanya kweli na kumpiga kibao cha kweli (na sio cha kuigiza) kitu ambacho kilimfanya mrembo akasirike kweli na kuamua kusimama kufanya video.
Linex anasema “ilichukua kama saa mbili mpaka tatu kumbembeleza na kukubali kuendelea na shooting ya hii video, nilimpiga akakasirika kweli… nilimpiga kibao cha Serious kabisa haikua kiuigizaji, alipokataa kuendelea kuigiza ilibidi tufanye mambo mengine tu tukisubiri alainike”
Video imefanywa na Adam wa Visual Lab, dakika zako nne na sekunde 50 zinakutosha kabisa kuitazama hii video kuanzia mwanzo mpaka mwisho alafu utoe maoni yako, Linex anapita mara kwa mara millardayo.com kuchek ulichomuandikia.

HUU NDIO MTIRIRIKO WA STORI KUMI ZA AMPLIFAYA JULY 25 2012.

Posted: 25th July 2012 by MillardAyo in News
0
.
.
.
0
Voula Papachristou
.
.
Wakati mashindano ya Olympic yakiwa yanaanza ijumaa, Mwanariadha wa Ugiriki Voula Papachristou amefukuzwa na kuondolewa kushiriki mashindano hayo baada ya kuandika maneno ya kibaguzi dhidi ya watu weusi kupitia page yake ya mtandao wa kijamii wa twitter.
 
Aliandika “waafrika walivyojaa huku Ugiriki, afadhali hawa mbu wale, watapata chakula cha nyumbani kutoka magharibi mwa mto Nile”.
 
Japo baadae aliomba msamaha kupitia hapo hapo Twitter, haikusaidia kutokana na uzito wa kosa lenyewe ambalo halikuhitaji hata mzaha kulifanya.

No comments:

Post a Comment