Na Waandishi Wetu
MSANII wa filamu za Kibongo, Hartmann Mbilinyi amepata pigo baada ya kufiwa na baba yake kipenzi aitwaye Giblon Temu baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akizungumza na Tollywood Newz, jijini Dar es salaam, Hartmann alisema baba yake huyo alifikwa na umauti Julai 23, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi baada ya kudondoka chooni.
“Ameugua kwa muda wa wiki moja tu lakini ameteseka sana, jamani huyu ndiye aliyenilea tangu nikiwa na miaka mitatu, ingawa siyo baba yangu mzazi lakini ninampa heshima hiyo kutokana na mapenzi aliyonionesha kwangu,” alisema Hartmann.
Mwili wa mzee Temu unatarajiwa kuagwa leo Jumatano na kusafirishwa kesho Alhamisi kwenda Old Moshi, Moshi mkoani Kilimanjaro kwa…

Mwili wa mzee Temu unatarajiwa kuagwa leo Jumatano na kusafirishwa kesho Alhamisi kwenda Old Moshi, Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi.

No comments:
Post a Comment