Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua
Kongamano la tatu la Jukwaa la Uhusiano wa China na Bara la Afrika
katika kuondoa umaskini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam jana Julai 28, 2012. Wa tatu toka kushoto ni Waziri wa
China anayeshughulikia Umaskini Mhe Fan Xiaojian, wa pili kulia ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya rais Mhe Steven Wassira, wa pili kushoto ni
Naibu Waziri wa Fedha na Maendeleo ya Uchumi wa Sierra Leone Mhe Momodu
Kargbo, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Dkt Philip Mpango
na kulia kabisa ni Balozi wa China hapa nchini Mhe L.V. Youqing.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
picha na ujumbe toka China unaohudhuria Kongamano la tatu la Jukwaa la
Uhusiano wa China na Bara la Afrika katika kuondoa umaskini katika
hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam jana Julai 28, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo rasmi na Waziri wa China anayeshughulikia Umaskini Mhe Fan Xiaojian
wakati wa Kongamano la tatu la Jukwaa la Uhusiano wa China na Bara la Afrika katika kuondoa umaskini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam jana Julai 28, 2012.
wakati wa Kongamano la tatu la Jukwaa la Uhusiano wa China na Bara la Afrika katika kuondoa umaskini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam jana Julai 28, 2012.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment