Saturday, July 21, 2012

ENYI FANS WA MANCHESTER UNITED, HII YENU NA ROBIN VAN PERSIE INAWAHUSU KABISA.

.
Manager wa Manchester United Alex Ferguson ametangaza rasmi kwamba anamuhitaji mchezaji wa Arsenal Robin Van Persie kwenye kikosi chake.
Sir Fergie ameamplfy kwamba japo mkali huyu wa soka anatakwa na club nyingine ikiwemo Manchester City na Juventus, ni wazi kabisa Manchester nayo inamtaka baada ya kusema hatoongeza mkataba wake na Arsenal unaokaribia kuisha.
Robin Van Persie ambae ana miaka 28 toka apewe ruhusa ya kuishi kwenye hii dunia ameichezea Arsenal toka mwaka 2004 na mpaka sasa kaifungia magoli 96 na kwenye timu zake za taifa (Netherlands) amezifungia magoli 30 toka aanze kucheza nazo mwaka 2001.

No comments:

Post a Comment