Najua kama unalipenda soka lazima stori za Theo Walcott wa Arsenal kuhamia Liverpool utakua umezipata tayari.
Pamoja na kwamba zimezagaa sana nataka nikuhakikishie kwamba yafuatayo ni maneno ya kauli yake mpya…….. “kuna mengi yamekua yakizungumzwa na watu tangu kumalizika kwa michuano ya Euro lakini wakala wangu na Club bado wanazungumza, ishu ya mkataba sio ishu yangu kuizungumzia, mi napenda kufanya kazi inayonihusu.. tutaona mazungumzo yatakapofikia”
Walcott mwenye miaka 23 toka aje duniani akiwa na magoli 26 toka ajiunge na Arsenal 2006, amesema ” sijui chochote kuhusu club inayotaka kunisajili na kwa sasa niko Pre Season na club yangu, chochote kipya nitawajulisha… kocha wetu ameonyesha imani kwa vijana siku zote na hilo linafanya tuwe na lengo la kuwadhihirishia watu kuwa tunaweza kupata mafanikio”

No comments:
Post a Comment