Mgeni rasmi wa Siku ya Mashujaa, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akielekea kuweka mkuki na ngao kwenye mnara wa mashujaa.
Wanajeshi
wakimsaidia mwanajeshi mstaafu mzee Edward Hamba (90) aliyepigana vita
ya kwanza ya dunia ya mwaka 1945 kuweka upinde na mshale kwenye mnara.
----
SIKU ya Mashujaa leo imeadhimishwa kwa mbwebwe za kila aina eneo la Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa eneo la Posta katika manispaa ya Morogoro ikijumuisha wanajeshi wastaafu. Katika tukio hilo mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera.
(PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE, GPL, MOROGORO)

No comments:
Post a Comment