Sunday, July 29, 2012

HONGEREN YANGA KWA KAZI NZITO MLIYOFANYA


Kocha wa Yanga Thom Saintfiet, akiwa na Kombe la Kagame wakati wakishangilia ushindi huo.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya mpira kumalizika na ushindi.
Mmoja wa mashabiki wa Yanga akionesha bango baada ya mpira kumalizika.
Kikosi cha Yanga kilichoanza.
Kikosi cha Azam kilichoanza.
Beki wa Yanga, David Luhende (katikati) akiwatoka wachezaji wa Azam.
Mmoja wa wadau wa Azam akiwa amejichora jina la mshambuliaji wa timu hiyo, John Bocco.
Shabiki mwenye fulana nyekundu aliyedaiwa kuwa ni wa Simba na mwenye jezi ya Azam ambaye alidaiwa kuwa wa timu hiyo wakiwa na mfano wa jeneza wakati wakiidhihaki Yanga kabla ya matokeo.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, David Misime, akisimamia suala la ulinzi uwanjani hapo.
Timu ya Yanga jana iliutetea ubingwa wake wa Kombe la Kagame kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa kuilaza Azam kwa mabao 2-0.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

No comments:

Post a Comment