RAIS KIKWETE KATIKA MAZISHI YA RAIS JOHN ATTA MILLS WA GHANA
Shughuli
mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans
Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra jana Agosti
10, 2o12 Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie baada ya shughuli ya
mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra jana Agosti
10, 2012 Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo wakati shughuli ya
mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika ukumbi wa
Mikutano wa Ghana jijini Accra jana Agosti 10, 2012. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima kwa aliyekuwa Rais wa Ghana
Marehemu Profesa John Evans Atta Mills katika ukumbi wa Mikutano wa
Ghana jijini Accra jana Agosti 10, 2012.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment